Wednesday 22 August 2012

LYRICS TO THE SONG "CHOCHOTE NITATENDA"


ARTIST: JATELO
SONG: CHOCHOTE NITATENDA
LANGUAGE: SWAHILI


[CHORUS 1]
Chochote nitatenda
Bora niwe wako
Kama hatia kupenda
Siogopi kufungwa mimi X2

[VERSE1]
Jamani nauliza, nini siri ya mapenzi,
Nieleze nifahamu
Ningependa kujifunza, baby ni tayari,
Tata nina hamu
Kila kitu nina do, honey ni tabu, sipati jibu
Baby na wonder, kama ni blunder, mimi kukupenda
Wewe wanizinguazingua, wanizungusha zungusha hii taabu ma boo
Kila mtu anachocheachochea, wana pang’ang’a nikukose ma boo
Nini unataka a
Nitakupa
Wapi wataka kwenda
Niambie

[CHORUS 2]
Chochote nitatenda
Bora niwe wako
Kama hatia kupenda
Siogopi kufungwa mimi X2

[VERSE 2]
[Ukienda kwa mtandao andika urembo
Sura yako yatokea
Tukienda kwa tabia nzuri si siri
Hio nyanja umebobea X2]
Kila nikikuona moyo unadundadunda ninakuwa bubu
[………………………………..beats ……………………………………]
Unanifanya nut case baby
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
Come on come on nipe kiss mrembo
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah (ai!)

[CHORUS 3]
Chochote nitatenda
Bora niwe wako
Kama hatia kupenda
Siogopi kufungwa mimi X2

[VERSE 3]
Sioni vile mi mwenzangu naeza ishi bila wewe
Nini nitafanya ili mimi nikupate wewe
Mapenzi ni gazeti leo nasoma kesho zamu ya mwengine
Hata tukijidanganya danganya sana, muamuzi wewe
[Uzuri wa maumbile na tabasamu
Ndio yanipa hamu
Sifa yako ya upole na ukarimu
Tamaa yangu wafahamu X2]

[CHORUS 4]
Chochote nitatenda
Bora niwe wako
Kama hatia kupenda
Siogopi kufungwa mimi X2

[OUTRO]
Is another one. From your Simply the bestest.
The one and only in Eastern and Central Africa, the whole world, even in Google.
JATELO.
IS A G - HIT